Breaking News: Rais Jacob Zuma Akubali Yaishe..Aachia Madaraka Kwa Kujiuzulu
Udaku Special
February 15, 2018

AFRIKA KUSINI: Rais Jacob Zuma ametangaza uamuzi wake wa kuachia Urais usiku huu
Asema asingependa damu imwagike na chama(ANC) kimeguke kwa sababu yake