HINA: Chama tawala cha Kikomunisti kimependeza mabadiliko ya Katiba ili kuondolewa kwa ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani
Kwa katiba ya China, Rais anatakiwa kuhudumu kwa vipindi visivyozidi viwili(miaka 10) huku kila muhula ukiwa ni miaka5
Mabadiliko hayo yatamfanya Rais wa sasa wa taifa hilo, Xi Jinping aliyeingia madarakani mwaka 2013 kusalia madarakani baada ya mwaka 2023