DC Aagiza Polisi Wavaa Nusu Utupu na Milegezo

DC Aagiza Polisi Wavaa Nusu Utupu na Milegezo
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Rehema Madusa ameliagiaza Jeshi la Polisi kuwakamata Wadada wote wanaovaa nguo nusu utupu  na wanaofanya biashara ya kuuza miili yao ili wakasaidie ujenzi wa nyumba za jeshi la Polisi.

DC Madusa amesema wale wote watakaomatwa adhabu yao itakuwa kufyatua tofali zitakazosaidia katika ujenzi wa nyumba za Askari polisi kwa kuwa kuna changamoto kubwa ya makazi ya Askari
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad