Fezza Kessy Ajinadi Live Mchana Kweupe..Adai yeye ni Mzuri Kuliko Beyonce

Mmeyasikia fezzakessy anayo yasema uko insta kwamba yeye ni mzuri kuliko beyonce,beyonce kamzidi pesa na kuimba ila kwa uzuri ata subiri sana

Fezzakessy anadai yeye ni mzuri kuliko wanawake wote duniani,ajaona mwanamke mrembo na mzuri kuliko yeye,prianca chopra kidogo ndo walau atakaribia uzuri wa fezzakessy.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ulie tu kama wewe unafikiri kuwa ni mrembo kuliko Beyonce basi utakuwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo na kama wewe unajiona ni mrembo kuliko warembo wote duniani hapo pia una matatizo makubwa sana ya msongo wa mawazo kwangu mimi sijawahi kukuweka katika kundi la wasichana warembo wala sijawahi kufikiria wewe ni mrembo wewe ni kawaida sana teena sana tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad