Godzilla Auponda Wimbo Mpya wa Nay wa Mitego "Wimbo Mbaya"

Godzilla Auponda Wimbo Mpya wa Nay wa Mitego "Wimbo Mbaya"
Msanii kutoka Bongoflevani Nay wa Mitego amechia Video ya wimbo wake mpya leo February 19, 2018 ambapo kupitia ukurasa wake wa istagram February 18 Nay wa Mitego aliweka caption iliyosomeka…>>>“Video Ya #MikonoJuu Inatoka Kesho J3 Subscribe Kwenye YouTube Channel Yangu #MrNay Uwe Wa Kwanza Kutizama Full Video Ya #MikonoJuu” – Nay wa Mitego

Baada ya Post hiyo ya Nay wa Mitego, msanii wa Hip Hop Godzilla aka-comment chini na kusema wimbo huo wa Nay ni mbaya…>>>”Wimbo mbaya Emanuel” – Godzilla


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli ni mbaya kwani asilimia 80 ya nyimbo za ney ni matusi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad