Dkt.
Nchimbi ametoa kauli hiyo wilayani Iramba kufuatia wakulima kulalamikia
suala la ukosefu wa dawa na mabomba ya kupulizia sumu ya kuua wadudu
wanaoshambulia zao la Pamba.
Aidha Dkt. Nchimbi amewataka wahusika wa kilimo katika halmashauri hizo kutoa elimu ya zao la pamba katika maeneo yote ya wakulima ili kuwasaidia kupata mavuno yanayoridhisha.
Kwa upande wa wakulima pia wamemwelezaMkuu wa Mkoa huyo juu ya changamoto wanazokumbana nazo ikiwemo uhaba wa vitendea kazi pamoja na pembejeo za kilimo kuwa ndio kinawakwamisha kufanya kilimo chenye tija.