Harmonize Awajibu Wanaombeza Kuwa Jaji Kusaka Watangazaji Wasafi TV


 Muimbaji huyo akizungumza visiwani Zanzibar amesema yeye kuwa jaji ni nafasi ambayo anaimudu vizuri bila tatizo.
“Mimi nakutana na watangazaji kila siku nafanya interview ndani ya Tanzania na nje, so ukiwa na kipaji mimi nitajua tu na kama huna kipaji sitosita kukuambia,” amesema.
Kumekuwa na baadhi ya watu wanahoji iwapo msanii huyo alistahili kuwa jaji kutokana hana uzoefu wowote wa kieledi na utendaji kazi mzima wa vyombo vya habari.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad