Kimenuka Burundi...Wakimbizi Waendelea Kumiminika Tanzani


BURUNDI: Wakimbizi wameendelea kumiminika mikoa inayopakana na eneo la Fizi lililopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya Serikali na Waasi wa Mai Mai
-
Wakimbizi hao wanasema mapigano ni makali mno kiasi cha familia nyingi kutawanyika na baadhi ya Watoto wamekimbia bila Wazazi wao.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi (UNHCR) limeanzisha misafara ya kuwapeleka wakimbizi hao kwenye kambi katika Mikoa isiyopakana na Kongo.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dkt shika huli suala lako lishughulikie kabla hujasepea Mariakani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad