Kumbe Wema ndo Chanzocha Kuvunja Penzi la Diamond na Zari.... Zari Athibitisha Afunguka A-Z

Kumbe Wema cha Kuvunja Penzi la Diamond na Zari.... Zari Athibitisha Afunguka A-Z
Unazikumbuka picha za Wema Sepetu na Diamond Platnumz zilizosambaa wakiwa wamekumbatiana kwa mahaba wakati wa sherehe ya kumkaribisha Maromboso au ‘Mbosso’ iliyofanyika mwezi uliopita katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam?

Basi tukio lile ndio limesababisha Diamond kuweza kupigwa chini na mama watoto wake, Zari The Bosslady.

Akiongea katika kipindi cha runinga cha Dira ya Dunia ya BBC Swahili, Zari amesema, “Tulikuwa tunajaribu kuona we can move from hiyo sikendo ya kupata mtoto. So we can move forward lakini vitu kama hivyo leo unasikia hivi unaona vile sijui kukumbatiana huko na maex kwenye public vitu vya kunidhalilisha, kunifanya niwe very disrespect na watoto wangu unaona tu like it’s just not right.”
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani wewe ulipomchukuwa ulifikiria nini alikuwa na wema bitukinao ukaona ninyakue kwa vishindo na mbwembwe kunfanyia mwenzeko na kejeli sasa yamekufika kaa ulee watt wako unahangaika nini kupost kwenye mitandao humtaki tulia why unajianika kila siku means unamtaka unamvuta wewe ni mjanja lakini ulishaambiwa kigoma hatoki boi anza maisha yako na watt wako tafuta mwanaume size yako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad