Lemutuz Adai ni Rafiki Mkubwa wa Tundu Lissu...Adai Alimsaidia Wakiwa Marekani..


Lemutuz Jana aliweka picha Hii kwenye ukurasa wake wa Instagram na kudai Tundu Lissu ni Rafiki yake mkubwa:

Jisomee Hapa chini alichoandika:

From @lemutuz_superbrand - SUPER MEMORY....nimeikuta maktaba ...with my Great Friend Mh. Tundu Lissu Mwaka 2010 baada ya kumpokea JFK/New York City na kumuendesha na gari langu binafsi mpaka Connectcut State/USA ..ambako tulienda kuhudhuria Sherehe za Dada yake kumaliza Degree at Conn. State University.....najua enzi hizo vijana wengi wadogo humu instagram mlikua hamjui lolote na wengi mlikua hamjazaliwa...ila mnajua kelele tu za mlango.....Ndugu yangu Lissu siasa pembeni Mungu Akutangulie Ndugu yangu Upone haraka! ...AMEN! - le Mutuz
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad