LIVE: Wastara Amwaga Machozi Airpot, Akiondoka India Kutibiwa

LIVE: Wastara Akiondoka Kuelekea India kwa Matibabu ya Mguu
Wastara Juma, msanii wa filamu za Kibongo, baada ya kuchangiwa fedha kwa ajili ya kwenda kutibiwa mguu nchini India, hatimaye leo ameondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea nje ya nchi kwa matibabu.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad