Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.
Katika matokeo hayo, Dk Mollel anafuatiwa kwa mbali na mgombea wa Chadema, Alvis Mossi huku wa CUF, Tumsifuel Mwanri akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura.
Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.
Kituo cha Kirua–Kawate Kata ya Siha, Wilaya ya Siha
Mgombea wa CCM alipata kura 208,
Alvis wa Chadema akipata kura 42
Mwanri wa CUF akipata kura 10
Katika kituo cha Lawate namba 2 Kata ya Siha
CCM ilipata kura 300
Chadema 21
CUF 0.
Kituo cha Lomakaa,
CCM ilipata kura 190,
Chadema 10
CUF 0
Pia kituo cha Ofisi ya Kijiji Sanya Juu
CCM ilipata kura 284
Chadema 54
CUF 1.
Kwa upande wa kituo cha Sanya Juu
CCM ilipata kura 93
Chadema 50
CUF 0
huku kituo cha Kaboko Kusini 2
CCM 403
Chadema 68
CUF 0
Sau 0
Pia Kituo kingine cha Kaboko B;
CCM 106,
CUF 76,
Sau 0
kituo cha Ofisi ya VEO Merali Juu1;
Chadema 33,
CCM 64
CUF 0
Sau 0
Ofisi ya VEO Merali Juu2:
Chadema 22
CCM 87
Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo.
Kituo cha Pyarita kata ya Nasai
Mgombea wa CCM alipata kura 194
Alvis wa Chadema akipata kura 44
Mwanri akipata Cuf akipata kura 5.
Endelea kufuatilia matokeo zaidi hapa
Chaliiii!!
ReplyDelete