Top Post Ad
“Baada ya Sugu kufungwa,Mke wangu aliniambia”Godbless maisha ya Siasa yanaendelea kuwa magumu sana,kazi yenu sasa imekuwa ni kuzika, mahakamani,Polisi,Hospital na magereza” Mkti anasemaje?Mpeni moyo sana,mnapaswa kuilazimisha furaha ili msipoteze Imani na matumaini.unarudi lini,” ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Kwa hiyo....?? anatutangazia 'wananzengo' ili iweje...?? Nyinyi pambaneni na hali zenu, si mnajifanya MUCH-KNOW, mnapelekwa pelekwa na shost'enu mange kimavi.....mtajutraaaaaaaaa
ReplyDeleteSo what
ReplyDeleteSo what
ReplyDelete