Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kijieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Chadema waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni
Wewe msajili wa vyama una lolote ufai kuwa hapo.
ReplyDeleteWesting time ,hii ni dunia ya uwazi akuna kudanganyana
ReplyDeleteUkisikia upumbavu wa viongozi ni kama huu. Ukisikia watu wadiothamini watu wao na hawajithamini mmojawao ni wewe. Dharau kama hizi baada ya uhai wa mwanafunzi kutoweka na ubabe kama huu namuomba Mungu akuadhibu. Huwezi kucheza na damu ya Awuilina kama kuku ukadhani hutailipa. Na si yeye tu. Avha siasa uwe binadamu uombe msamaha kwa Mungu. Unahitaji uwe gerezani badala ya kutoa ubane kama huu. Tanzania kamwe hatukuwa na mioyo ya kinyama kama hivi. Huu unyama utaishia kuwa mnyama mwenyewe. We ujipandishe tu utasjushwa kama jivu.ulitoka udongoni na utarudia udongoni vibaya kuliko ulibyomtoa huyu dada Aquilina. Omba radhi hadharani. Unawatoto mke, na ndugu. Chunga kauli zako.
ReplyDeleteHuna thamani zaidi ya Aquilina.
ReplyDelete