Mtoto wa Miaka 2 Amerudishwa Nchini, Baada ya Wazazi Wake Kukamatwa na Dawa za Kulevya China

Taarifa tuliyoipokea kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ni kuhusu Watanzania wawili wamekamatwa nchini China January 19, 2018 wakiwa wamemeza dawa za kulevya tumboni kwenye uwanja wa ndege wa Baiyun Guangzhou
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maskini huyu mtoto, machozi yananitoka Wallahi.tuwache tamaa za utajiri wa harakaharaka tufanye kazi za halali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad