Mwanaharakati Mange Kimambi Ana Nguvu Sawa na Chama Kikuu cha Upinzani nchini

Kwa kweli mwanaharakati huyu ana ujasiri wa kupigiwa mfano. Sitaki kumtolea mfano wa akina- Assange na Snowden lakini Mange ana nguvu kubwa kama chama kikuu cha upinzani.

Mimi naona ni mwanamke mwenye akili kubwa na uwezo wa kufikiri mkubwa kwani kila nyanja anaweza akaisemea vizuri.

Huyu ana faida kwetu lakini tumsaidie kwa kumpa taarifa zenye ukweli na manufaa ya taifa letu. Mfano mpenyesheeni majina na kikundi cha wasiojulikana angalau tuishi kwa amani mtaani kwetu, ufisadi... n.k.

Hongera Mange Kimambi.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanaharakti wa matusi mitandaoni, Mshenzi mkosefu wa maadili aliekosa malezi ya wazazi wake. Mambi kimange hana cha ujasiri wala nini kwa sababu kwa bahati mbaya hakuna upinzani wa siasa Tanzania bali uigizaji wa kisiasa ndio maana unaona chadema wanaendeshwa na kimange.yule kimange ni malkia wa mitusi na zaidi ni ulimbukeni wake wa kujiona anaishi Marekani ndio anaweza kumvunhua heshima kila mtu.

    ReplyDelete
  2. kama kweli yeye mange kimavi ni jasiri na ni mwanamke anayejiamini, hebu aje ayatolee huku TZ hayo matusi yake.......hizo 'sifa-za-kijinga' mnazo-mpa ndio zinampa kichwa kiasi cha kutukana hata wasiostahili kutukanwa.......HER-DAYS-ARE-NUMBERED!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad