"Nyumba Yangu ina vyumba Viwili Nimenunua Milioni 100" Lulu Diva

Msanii LuluDiva ambaye ameachia wimbo mpya hivi karibuni kaelezea gharama za video hiyo ambayo amesema kuwa sichini ya millioni 15 lakini pamoja na Hilo kaelezea mjengo wake mpya ambao anadai kanunua millioni 100 na kaukarabati upya.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad