Picha: Mamia Wakusanyika Usiku Nyumbani kwa Radio Kwaajili ya Kuomboleza

Picha: Mamia Wakusanyika Usiku  Nyumbani kwa Radio Kwaajili ya Kuomboleza
Usiku wa jana watu kibao wamehudhuria nyumbani kwa Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzey Radio, kuomboleza msiba wa msanii huyo ambapo shughuli hizo zinafanyika nyumbani kwake Makindye mjini Kampala.

Radio alifariki Alhamisi hii katika Hospitali Kuu ya Kampala baada ya kulazwa kwa siku 10 baada ya kudaiwa kushambuliwa kwenye bar moja huko Entebbe.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad