Polisi Wakiri Kumpiga Risasi Mwanafunzi wa NIT


Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Lazaro Mambosasa amakiri kwamba mtu mmoja alipigwa risasi na Polisi hapo jana.
Mambosasa amedai kwamba Polisi walikuwa wakiwatawanya wafuasi wa #Chadema waliokuwa wakiandamana ndipo walipiga risasi juu na moja kati ya risasi hizo ilimpata mtu.

Kauli hiyo ya Jeshi la Polisi inakuja katika wakati ambapo simanzi imetawala mitandao ya kijamii kutokana na taarifa za binti Aquilina anayetajwa kupigwa risasi na Polisi hapo jana maeneo ya Kinondoni Mkwajuni wakati Polisi wakikabiliana na wafuasi wa #Chadema.

#RIPAquilina.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni lazma familia yahuyo mtoto itinge mahakamani nakudai fidia pia askari aliyehusika lazma nae ahukumiwe kunyongwa pia lazaro mambosasa nilazima ajiuzulu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad