Rais Magufuli Afanya Amteua Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la JWTZ

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Huu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ameteua Meja Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) na kuwapandisha vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja Jenerali.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad