Rais Magufuli Ampangia Ubalozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu

Rais Magufuli Ampangia Kuwa Balozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad