RC Makonda Awawashia Moto Makampuni ya Udalali

RC Makonda Awawashia Moto Makampuni ya Udalali
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wamiliki wa makampuni ya udalali jijini Dar es Salaam, kufuata taratibu za kisheria wanapokuwa katika majukumu yao ya kikazi katika kukamata au kuondoa mali za watu wanapokuwa wakidaiwa.


Amewaomba pia  kuwaelimisha, badala ya kuwapiga viboko waendesha  bodaboda wanapokuwa wakitaka kuingia  maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam.  Pia amewataka wawasilishe leo nyaraka zao za utambulisho wa kufanya kazi hizo zinazowaonyesha kuwa wao ni halali ili kuondoa makundi ya watu wanaojipenyeza na kujifanya  ndiyo wamiliki wa makampuni ya udalali.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad