Riyama na Mume Wake Mahaba Niue

Riyama na Mume Wake Mahaba Niue
MWANAMAMA mwenye sifa zote awepo mbele ya kamera za Bongo Movies, Riyama Ally anamuomba Mungu yeye na mumewe, Leo Mysterio waishi miaka mingi ili kila mmoja aje kumzika mwenzake wafikapo uzeeni.

Riyama aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, siyo watu wote wanapenda kuombeana dua waishi miaka mingi kama mke na mume, bali huwa wanahesabu tu siku za kuachana, lakini kwa upande wake yeye ni tofauti.

“Kila siku ninaomba dua ili mimi na mume wangu tuishi miaka mingi kwa kuziepuka husda za watu ambazo zipo kila kona,” alisema Riyama ambaye ni mkali wa kuigiza sinema za majonzi.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndoa inajengwa na wanandoa webyewe

    ReplyDelete
  2. Hongera dada.uwe mfano kwa wasanii wengine siowanaosema 'Tuishi kwa raha lakini kwa shida kila mmoja aende zake"

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad