Rosa Ree Afunguka Kuhusu Colabo Yake na Fid Q

Rosa Ree Afunguka Kuhusu Colabo Yake na Fid Q
Msanii wa muziki Bongo, Rosa Ree amefunguka iwapo kuna mipango ya kufanya kazi na Fid Q.

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Marathon’ aliyomshirikisha Bill Nass amesema kufanya kazi na Fid Q ni kitu ambacho hakishindikani.

“Ni kitu ambacho kinawezekana, siwezi nikazungumza sana kwenye hilo lakini he is my brother ni mtu ambaye anani-inspire sana kwenye movement zake na michano yake, hata kuniita jukwaani vile kuna vitu vingi niliweza kujifunza, kwa hiyo tegemeeni vitu vikubwa,” Rosa Ree
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad