Serena Williams Aanza Kazi Mumewe Abembeleza Mtoto

Serena Williams Aanza Kazi Mumewe Abembeleza Mtoto
Mchezaji tennis Serena Williams amerudi uwanjani kwa mara ya kwanza toka ajifungue mtoto wake wa kike Alexis Olympia miezi mitano iliyopita.

Serena amerudi uwanjani kucheza michuano ya Fed Cup  Asheville USA lakini amezichukua headlines kufuatia kujitokeza uwanjani hapo mume wake na mtoto wake Alexis Olympia.

Mchezo huo ulihudhuria na kufuatiliwa na watu mbalimbali lakini kitendo cha mume wa Serena anayejulikana kwa jina la Alexis Ohanian alikuwa uwanjani hapo akiwa kambeba mtoto na kumnywesha maziwa wakati Serena akiwa anacheza kimewavutia wengi.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad