Tazama Dakika 3 za Balaa Alilofanya Diamond Mwembe yangu

Siku ya leo February 4, 2018 kundi la WCB limefanya utambulisho mwingine wa pili wa msanii Mbosso katika uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke DSM ambapo wasanii wote wa WCB wali-perform na moja ya wasanii hao ni DIAMOND PLATNUMZ ambaye alitoa burudani katika viwanja hivyo..

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad