Tazama 'Sendoz' Ilivyomuumbua Diamond Mahakamani, Atembea Peku


MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ leo amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi inayomkabili ya kushindwa kumtunza mtoto wake aliyezaa na msanii mwenzake, Hamisa Mobeto.

Katika Shauri la kesi hiyo lililofunguliwa na Hamisa Mobetto akiomba Mahakama iamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, litaanza kusikiliza leo katika mahakama ya watoto Kisutu.

VIDEO:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaelekea ni viatu vya kichina maana huwa vinaharibika hata kama vikiwa vipya

    ReplyDelete
  2. chezea mchina wewe hahaaa lazima vitakuumbua tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad