TUNDA “Diamond Nipo Nae Karibu, Nionane na Zari ili Niongee naye nini?”

Video Queen maarufu Bongo Tunda ambaye amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na Star Diamond Platnumz, amezungumza kwenye Exclusive Interview ambapo ameongelea ishu ya yeye kudaiwa kutoka kimapenzi na Diamond huku akielezea kama Zari the Boss Lady alishawahi kumtafuta kuhusu ishu hiyo.

Tunda ameelezea na suala la yeye kutokea kwenye video za mastaa ambapo amesema kuna masharti yake ameyaweka na kama msanii akishindwa kuyafata hafanyi naye video kwani zipo video nyingi za mastaa wakubwa alikataa kufanya kwa sababu walishindwa masharti.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama TUNDA akielezea

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad