Video: Diamond Agawa Urithi Kwa wanae Baada ya Kuachana na Zari

Video: Diamond Agawa Urithi Kwa wanae Baada ya Kuachana na Zari

Msanii wa bongo fleva Diamond platnumz baada ya kuachana na mama watoto wake zari, kutokana na kuwa na skendo mbali mbali za kimapenzi na wasanii tofauti akiwemo Hamisa mobetto amezaa nae mtoto  mmoja na hivi karibuni kuonekana katika picha ya mahaba na wema sepetu ambae alikuwa na mahuziano na e zamani, hivyo Diamond ameamua kuwapa urithi watoto wake wawili Nillan na Dully.

Tazama video hapo chini

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni vizuri kama ameamua kufanya hivo... BongoSwaggz

    ReplyDelete
  2. Wote hao hawakurithi maana umewazaa nje ya ndoa, anaekurithi ni mamayako na babayako, na hata babayako kama hakumuoa mamayako pia hafai kukurithi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad