Wema Sepetu Baada ya Kutoka Mahakamani

Kesi ya mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Inspekta wa Polisi, Wille ameieleza Mahakama kuwa hakuwepo wakati Wema akichukuliwa sampuli ya mkojo kwa Mkemia Mkuu wa serikali.

Nimekuwekea Video ilivyokuwa baada ya Wema Abraham Sepetu kutoka Mahakamani bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad