Zamaradi Mketema Awa Mtangazaji wa Kwanza Kuingia Wasafi TV & Radio.

Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa Ruge Mutahaba Zamaradi Mketema ajiunga rasmi na Wasafi TV inayomilikiwa na Diamond Platnumz.

Picha ni Zamaradi akiwa na Timu nzima ya WCB Wakiwa Zanzibar Kwa Ajili ya usaili wa Watangazaji Wengine

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad