Zari Awanunia Ndugu wa Diamond Baada ya Kuonyesha Ukaribu na Wema Sepetu

Bado headlines za mahusiano ya Diamond Platnumz kuyumba zinazidi kuchukua headlines kila kukicha, hii ni baada ya mfululizo wa matukio ya Diamond yanayodaiwa kuwa hayampendeza Zari hususani ukaribu wake na Wema Sepetu uliyorudi hivi karibuni na ndugu wa Diamond kuonekana wapo karibu na Wema, kitendo hicho kinadaiwa kuwa kimemkera Zari na kuamua kuwa unfollow Diamond Platnumz, mama yake na ndugu wengine VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad