Bond Aliyekuwa Mpenzi wa Wastara zamani Achukizwa na Kauli ya Wastara ya Kutopenda Wanaume Weupe...Amtolea Mbovu Mbovu

Bond Aliyekuwa Mpenzi wa Wastara zamani Achukizwa na Kauli ya Wastara ya Kutopenda Wanaume Weupe...Hili limekuja Baada ya Wastara Kuhojiwa na Kutaja Vigezo vya Mwanaume Anayependa Amuoe...Amtolea Mbovu Mbovu Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Bond Ameandika
"Sinema ya kutisha nipale mtu anasema hapendi weupe halafu we umemukula miaka 4. Hukuwa na geto na umeishi nae miaka 4. Hapo lazima steringi awe geabox... Kudadeki wasukuma sisi hahaha , Heloo mazaaa... Bhawelage chizaaa koiii..."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad