HomeBreaking NewsBreaking News: Milipuko Yatokea Katika Mahakama ya Kisutu Breaking News: Milipuko Yatokea Katika Mahakama ya Kisutu 0 Udaku Special March 01, 2018 Mahakama ya Kisutu imekumbwa na hitilafu ya umeme leo baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlipuko na sintofahamu mahakamani hapo. Hitilafu hiyo ya umeme inadaiwa kutokea kwenye moja ya vyumba katika mahakama hiyo Tags Breaking News Newer Older