Bunge la China Lafanya Mabadiliko ya Katiba na Kuondoa Ukomo wa Rais..Sasa Kuongoza Miaka Anayotaka

Bunge la China limefanya mabadiliko ya katiba na kuondoa kifungu cha ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani, na hivyo kumpa Rais Xi Jinping nafasi kuwa kuongozi wa taifa hilo muda wote atakaokuwa hai.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi kabisa Tanzania pia inapaswa kufuata mfumo huu wa China ili kupunguza gharama za uchaguzi pamoja na kupunguza athari za mmon'gonyoko wa mshikamano miongoni mwa wananchi unaosababishwa na makovu yalioachwa baada ya uchaguzi. Isipokuwa kuwepo na vyombo fulani fulani vya sheria vya kumuajibisha Raisi ikitokezea anafanya mambo ya hovyo. Wachina si wapumbavu hata ukiona wamefikia kufanya kitu kama kile. Mchina amechukua kila kitu alichoona kinafaa kutoka kwa mataifa ya Magharibi lakini kagoma kufuata mifumo yao siasa. Na kiasi fulani kafanikiwa na atazidi kufanikiwa wakati mataifa ya Magharibi yakizidi kuangamia kutokana na sheria walizoziweka wao wenyewe zilizodai kuziweka ili kuwapa wananchi wao uhuru wa kuishi zikitumika katika kuangamiza maadili ya watu badala ya kuishi kama binadamu. Mauji ya hovyo ya watu hasa vijana yanayosababishwa na uhuru wa hovyo wa upatikanaji halali wa silaha za moto kwa baadhi ya nchi. Matumizi yaliokisiri ya madawa ya kulevya ambapo tofauti na nchi nyingi duniani ambapo vijana ndio waathrika wakubwa wa madawa,chi za Magharibi utumiaji wa madawa ya kulevya hauna ujana wala uzee wote ni waathirika madawa kutokana na kuwa na sheria zinazotoa adhabu nyepesi katika kudhibiti madawa hasa kwa watumiaji. Ukienda deep zaidi nchi za Magharibi karibu zote sasa sheria zao zinaruhusu Mahusiano ya mapemzi ya jinsia moja. Na mwitikio kwa wananchi katika jambo hilo unashika shika kasi siku hadi siku kiasi cha baadhi ya wataalamu kudiriki kusema binaadamu ameshafikia limiti ya kuishi hapa Duniani kilichobakia ni maangamizo. Kwa Waislam wanakumbuka kauli ya Mtume Muhammad(SAW) alipoizungumzia China kufuatwa kutokana na upatikanaji wa elimu Dunia. China kuna mambo mengi ya kujifunza kwa sasa kama ilivyotabiriwa kabla China haijawa hii China wanayoijua watu sasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad