Daraja la Kivule Limekatika Kutokana na Mvua Zinavyonyesha

Daraja la Kivule Limekatika Kutokana na Mvua Zinavyonyesha
Daraja la Kivule lililopo eneo la Sirari Wilaya ya Ilala limekatika kutokana na mvua zilizoanza kunyesha jana jijini Dar es Salaam.

Kumeshuhudiwa msururu wa watu wakishindwa kupita kwenye daraja hilo huku wakitafuta njia mbadala, Daraja hilo lilikatika baada ya kuzolewa na mvua kubwa iliyonyesha leo kuanzia asubuhi mpaka mchana.



Magari yote yanayoelekea Kivule yalishindwa kupita yakiwemo ya abiria yaliyolazimika kuishia Mwembeni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad