Diva: Sipo Single Nimeshapata Mwanaume Ambaye Amekubali Kulipa Mahari ya Milioni 500

Diva: Sipo Single Nimeshapata Mwanaume Ambaye Amekubali Kulipa Mahari ya Milioni 500
Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu kwa kupenda sifa hivi nani akulipie milioni 500 tena mtu ambaye kama wewe wanaume wengi wameshakupitia, jidanganye mwenyewe hata mtu aliye bikra halipiwi mahali kubwa kama hiyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad