Diva: Siwezi Kutembea Kimapenzi na Mwanaume Yeyote wa Bongo Movie Kwakuwa Hawajui Kingereza


Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ubaguzi upo katika aina nyingi jinsi asemavyo huyo binti hapo juu pia ni aina ya ubaguzi anafanya kufuru na kusahau kuwa kabla haujafa haujaumbwa bado ipo siku atakuja kuujutia huo msemo/ndoto yake unaiuza bei aghari hiyo kitu uliyopewa bureeee na Muumba wewe leo hii unadiriki kuiuza kwa bei ya tamaa kwani ina IC hiyo nonino au!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad