Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee na Mchekeshaji Idris Sultan ni miongoni mwa Watanzania waliofanikiwa kutajwa kwenye tuzo za mitindo nchini Nigeria za Nigeria Icons Fashion Awards – African Diaspora 2018.
Tokeo la picha la vanessa Mdee idris sultan
Idris Sultan na Vanessa Mdee
Watanzania wengine watakaopeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizo ni Wanamitindo Hamissa Mobetto, Sheria Ngowi, Ben Breaker, Richard George Maliti na Shawn Kieffer.
Vanessa Mdee ametajwa kwenye kipengele cha Most Stylish Female Artiste of the Year ambapo atapambana na Yemi Alade, Tiwa Savage, Nadia Nakai na Nsoki Neto.
Kwa upande wa Idris Sultan yeye atachuana na Wanaijeria wanne kwenye kipengele cha Most Stylish/Dressed Celebrity of the Year (Male).
Upigaji wa kura wa tuzo hizo utaanza Aprili 10, 2018 ambapo njia ya kupiga kura itatanjwa baadaye .
TAZAMA ORODHA KAMILI YA TUZO HIZO NA VIPENGELE VYOTE VILIVYO ORODHESHWA.
BEST DRESSED MALE MEDIA PERSONALITY OF THE YEAR – African Diaspora
1. Katleho Sinivasan (South Africa)
2. Uti Nwachukwu (Nigeria)
3. jamal Gaddafi (Kenya)
4. George Ndirangu (Rwanda)
5. Denola Grey (Nigeria)
MALE FASHIONISTA OF THE YEAR – African Diaspora
1. Eddie Kirindo (Kenya)
2. Noble Igwe (Nigeria)
3. Prince Thabiso Mkhize (South Africa)
4. Josef Adamu (Nigeria)
5. Sir Abner (South Africa)
FEMALE FASHIONISTA OF THE YEAR – African Diaspora
1. Stefani Roma (Kenya)
2. Sharon Ojong (Nigeria)
3. Antonia Shinana (Namibia)
4. Didi Olomide (Congo)
5. Hamisa Mobeto (Tanzania)
MOST STYLISH /DRESSED ACTRESS OF THE YEAR – African Diaspora
1. Mercy Aigbe (Nigeria)
2. Juliet Ibrahim (Ghana)
3. Genevieve Nnaji (Nigeria)
4. Yvonne Nelson (Ghana)
5. Rita Dominic (Nigeria)
6. Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
MOST STYLISH /DRESSED ACTOR OF THE YEAR – African Diaspora
1. Jim Iyke (Nigeria)
2. Sama Ndango (Cameroon)
3. John Dumelo (Ghana)
4. Mike Ezuruonye (Nigeria)
5. Ken Erics (Nigeria)
FASHION ICONS OF THE YEAR : African Diaspora
1. Soares Anthony (Nigeria)
2. Frank Oshodi (Nigeria)
3. Yomi Casual (Nigeria)
4. Yemi Osunkoya (Nigeria)
5. Lola Faturoti (Nigeria)
6. Ohima Atafo (Nigeria)
MALE FASHION ENTREPRENEUR OF THE YEAR – African Diaspora
1. Mark Essien (Nigeria)
2. Isaac Oboth (Uganda)
3. Tonye Rex Idaminabo (Nigeria)
4. Voule Yaovi Akpedze (Togo)
5. Adii Pienaar (South Africa)
6. Nick Kaoma (South Africa)
7. Stephen Sembuya (Uganda)
8. Edose Ohen (Nigeria)
FEMALE FASHION ENTREPRENEUR OF THE YEAR – African Diaspora
1. Uche Pedro (Nigeria)
2. Clarisse Iribagiza (Rwanda)
3. Catherine Mahugu (Kenya)
4. Elizabeth Kperrum (Nigeria)
5. Isoken Ogiemwonyi (Nigeria)
6. Banke Kuku (Nigeria)
7. Eseoghene Odiete (Nigeria)
8. Kunmi Otitoju (Nigeria)
9. Jordan Smith (Nigeria)
FASHION BEAUTY QUEEN OF THE YEAR – African Diaspora
1.) Ntombifuthi Gumede (South Africa)
2.) Emmanuella Undie (Nigeria)
3.) Modesta Okeke (Nigeria)
4.) Florence Mantey (London)
SPECIAL AWARDS CATEGORIES
1.) NiFA – African Diaspora Patron
2.) NiFA – African Diaspora Merton
3.) NiFA – African Diaspora Ambassador
4.) NiFA – African Diaspora Hall Of Fame
5.) NiFA – African Diaspora Achiever
6.) NiFA – African Diaspora Special Recognition Honors
★ ABOUT NIGERIA ICONS FASHION AWARDS
NiFAwards honors and recognizes people in the business of fashion in their career, being promising for the future, for exceptional contributions in creativity and development supporting the department of fashion and its mission to advance the fashion world, economic and encourage fashion in the world.
★ THE OBJECTIVE OF THE NIGERIA ICONS FASHION AWARDS
* To Encourage Excellence In The Business Of Fashion.
* To Inspire People Of All Ages Through The Example Of Entrepreneurship.
* To Highlight For The General Public The Accomplishments Of The Fashion Practitioners Of The African Diaspora Community
Idriss, Vanessa Mdee Watajwa Katika Tuzo za Mitindo Nigeria
0
March 27, 2018
Tags