“Imetolewa Amri Halima Mdee na Esther Matiko Wakamatwe”

 Leo March 22, 2018 Wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mbunge wa Kawe Halima Mdee pamoja Esther Matiko ambaye ni Mbunge wa Tarime Mjini imeelezwa kuwa imetolewa amri na Polisi wakamatwe popote walipo.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amesema Mwenyekiti wa chama hicho Mbowe na viongozi wengine wameshindwa kufikishwa Mahakamani kwa kukosekana kwa kwa Wabunge hao wawili.

Nanukuu kile alichoandika Lema “Mkti Mbowe na Viongozi wengine wameshindwa kufikishwa mahakamani kwa kuwa Halima Mdee/Easter Matiko (MB) hawakuweza kufika Polisi na amri imetolewa wakamatwe mahali popote walipo, John Mnyika na John Heche wamebaki polisi mpaka maelekezo mengine kutoka juu yatakapotolewa” -Lema


Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
Mkti Mbowe na Viongozi wengine wameshindwa kufikishwa mahakamani kwa kuwa Halima Mdee/Easter Matiko (MB)hawakuweza kufikaPolisi na amri imetolewa wakamatwe mahali popote walipo,John Mnyika na John Heche wamebaki polisi mpaka maelekezo mengine kutoka juu yatakapotolewa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad