INASIKITISHA: Wauza Unga Wanavyonyongwa China

Inasikitisha!  kufuatia matukio mbalimbali yanayoonyesha jinsi watu wanavyonyongwa nchini China  baada ya kukutwa na makosa ya Kuuza dawa za kulevya.

kwa mujibu wa mitandao mbalimbali unapokutwa na makosa ya kujihusisha na dawa za kulevya sheria yao kuu ni kuua.

Mbali na kunyongwa kwa kutumia kitanzi, Mitandao hiyo inaonyesha kuwa kuna staili maarufu zaidi na iliyo kwenye sheria mama ambayo ni ya kunyongwa kwa kutumia sindano ya sumu na kuua kwa kutumia risasi.

VIDEO:


Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu, Bonyeza HAPA
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haina kusikitisha safi tu na Adhabu za M/Mungu zina wasubiri. Maisha managapi ya watu hasa vijana yameamgamia kwa tamaa binafsi za hawa wauza unga. Ndoa ngapi za watu zimevunjika na familia kusambaratika kwa tamaa binafsi za kutojali maisha ya wengine walizonazo hawa wauza unga? Mtemgenezaji, muuzaji, Msambazaji na kadhalika wote ni Cancer katika jamii ni wa kuondoshwa tu. Na kama ujasiri utatumika kama ilivyo kwa Rasisi wa Philippines basi mpaka mtumiaji akikamatwa nyonga tu. Muuaji wa kukusudia adhabu yake kifo nashangaa Tanzania na watanzania wanalifanyia mzaha tatizo la madawa ya kulevya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad