Irene Uwoya Awaacha Njiapanda Mashabiki Zake " Nakupenda Sema Unakaujinga"

Irene Uwoya Awaacha Njiapanda Mashabiki Zake " Nakupenda Sema Unakaujinga"
Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janja baada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake.

Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga😏😏😏” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa mashabiki kutokana na Irene Uwoya kutotaja jina la mtu anayempenda na mwenye ujinga na wengi kubaki na maswali


Baada ya muda Dogo Janja alicomment na kuandika….>>>“Au sio?” comment hiyo ilizidi kuleta maswali kwa mashabiki na wengi kujiuliza kama ujumbe ule ni wa Dogo Janja au la.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo kiki ya ndoa imeshatuboa tangu zamani halafu bado mnaendelea ndoa, ndoa du Irene na Dogo mnatuboa sasa mpaka kichefuchefu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad