Johari Amweka Wazi Mwanaye wa Miaka 3 Afunguka Kuuzu Aliyezaa Naye

Johari Amweka Wazi Mwanaye wa Miaka 3 Afunguka Kuuzu Aliyezaa Naye
Msanii filamu nchini Tanzania, Blandina Chagula maarufu kama Johari kwa mara ya kwanza amekiri kuwa na mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 3 japokuwa mpaka sasa hataki kuweza wazi kama amezaa na Ray Kigosi au laa.

Johari ameeleza hayo wakati alipokuwa anajibu swali la Mwajuma Kawina aliyetaka kujua maendeleo ya mtoto wake aliyempa jina la Maria kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kila siku ya Jumatano kuanzia saa 8:00 hadi 10:00 alasiri.

"Maria hajambo kabisa, yupo nyumbani. Siwezi kumuingiza mwanangu katika kuigiza maana huwezi kufahamu kipaji cha mtu akiwa bado mdogo maana ndio kwanza ana miaka mitatu", amesema Johari.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad