Katibu wa Chadema Mkoani Arusha Ajitoa Ahamia CCM

Katibu wa Chadema Mkoani Arusha Ajitoa Ahamia CCM
Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Arusha Gabriel Kivuyo amekihama chama hicho kwa madai ya viongozi wake ikiwemo Mbunge kuwadharau pamoja na kitendo cha kutolewa nje kwenye kikao cha Mameya kwa tuhuma za kuwarekodi

Akizungumza wakati akipokelewa na Katibu wa CCM wilaya Musa Matotoka amesema hata akipata matatizo nakumtafuta Mbunge amekuwa hapatiwi ushirikiano
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utamjuwaaje kwasababu mpaka sasa bado haijulikani bunduki iliyotowa risasi iliyochukuwa uhai wa mtoto wako mpenzi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad