Kiba-100 Yamponza Roma Mkatoliki Basata Yampa Kifungo cha MieziSita

Kiba-100 Yamponza Roma Mkatoliki Basata Yampa Kifungo cha MieziSita
BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Rapa Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kwa muda wa miezi sita kutojihusisha na sanaa ya muziki kutokana na kutotii agizo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo lililomtaka kubadilisha maudhui ya wimbo wake wa KIBAMIA.

Kutokana na wimbo huo ambao Roma amewashirikisha wasanii wenzake, Stamina na Maua Sama, Basata walimuita na kumweleza arekebishe maudhui ya wimbo lakini inasemekana hakutekeleza agizo hilo hivyo BASATA wameamua kumfungia.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnawarudisha nyuma wasanii nchini.mafisadi mnawaficha wasanii mnawabana. Ni wakati mnaendana nao. Sad.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad