Lulu Diva Afunguka Tuhuma za Kumtelekeza Mtoto Wake Kijijini


Msanii wa Bongofleva Lulu Diva ameendelea kuingia kwenye Headlines na hii ni baada ya kusambaa kwa story kwenye mitandao ya kijamii ya kwamba ana mtoto ambaye amemuacha kijijini kwa muda mrefu na kutokana na kumuacha muda mrefu mtoto huyo hamuiti mama ila anamuita Dada.


Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama LULU DIVA akielezea..


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe Lulu diva unamkana mtoto wako wa kumzaa mwenyewe, ni kweli umemtelekeza mtoto wako na ndiyo maana hawezi kukuita mama, mimi mwenyewe mama yangu aliniacha kwa miaka 8 nikiwa mdogo leo hii namuita mama shetani na wala sitaki kuonana nae na sijaonana nae kwa miaka kila nikimuaza nasikia kichefuchefu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad