Mange Kimambi Atabiri Roma Mkatoliki Kuhamia CCM Kama Alivyotabiri Wema Kuhama na Ikawa


ANAYO ENDELEA MTANDAONI :
Unakumbuka kabla ya wema sepetu kurudi ccm Mange Kimambi aliandika kwenye page yake ya instagram na kutoa sababu mbili nzito zilizomfanya Wema kurudi CCM?

Awamu hii kamuibukia Roma Mkatoliki, anadai mda wowote anajiunga CCM
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani anafahamu Roma yupo chama gani?? Mtu mzima hovyooooo, anaingilia hata yasomuhusu mfyuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad