Mbasha “Ninauwezo wa Kwenda Mahakamani, Sioni Sababu ya Flora Kuninyima Mtoto”

Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Emanueli Mbasha amezungumza kwenye Exclusive Interview na AyoTV na hii ni baada ya kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram kumuomba mzazi mwenzie Madam Flora ampe nafasi ya kumuona mwanae kwani toka wameachana hajawahi kumuona mtoto huyo..

Mbasha amesema kwamba hazungumzi na mama mtoto wake toka wameachana ndomana akaona njia sahihi ni yeye kuandika pale kwenye Istagram na anaamini hajaandika vibaya zaidi ya kuweka wazi hisia zake, na alipoulizwa kama ataenda mahakamani kukata rufaa kwani mahakama ilimruhusu kumuona mtoto alijibu haya…

 VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad