Musiba Awashambulia Viongozi wa Dini Wanaomshambulia Rais Magufuli

Musiba Awashambulia Viongozi wa Dini Wanaomshambulia Rais Magufuli
MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba ameujibu baadhi ya viongozi wa dini akisema walikuwa wakijipatia pesa kupitia mafisadi na wengine walikuwa wanauza madawa ya kulevya.

Musiba amesema kutokana na jitihada za serikali kuwabana mafisadi na wauza unga waliokuwa wakiwapa pesa hizo, baadhi ya vioongozi hao wanaongea maneno ya hovyo kuhusu Rais Dkt. John Magufuli na kutoa matamko ambayo yamekosa tija.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad