Nape Nnauye, Chenge Wateuliwana Spika

Nape Nnauye, Chenge Wateuliwana Spika
Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Nape Nnauye ameteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii.

Spika Ndugai kupitia taarifa yake ya Machi 12, 2018 alitoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati mbalimbali za kudumu za Bunge ambao watahudumu katika kamati hizo mpaka mwaka 2020.

Wabunge wengine ambao wameteuliwa katika kamati hizo ni pamoja na Serukamba, Chenge, Zungu, Hawa Ghasia

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad